Klabu ya Manchester United inataka kupa Paul Scholes jukumu la kuwa msaidizi wa kocha mpya wa timu hiyo. Maafisa wa klabu hiyo wamesema wanamuamini mchezaji huyo anaweza kuwa na uwezo wa kumshauri Van Gaal na hata kupanga mabo ya kimaendeleo klabuni hapo.Walisema mahafisa wa timu hiyo hapo jana.Scholes anatarajiwa kupewa kikosi cha makinda wa timu hiyo na kuwa kocha wa vijana wa klabu hiyo.