NEW AUDIO BOB JUNIOR AND ROMA MAUMIVU SIKILIZA HAPA Posted by Unknown on August 14, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps Baada ya kutoa ahadi kuwa Brazili ikifungwa atakwenda Sharobaro Record kufanya kazi Ahadi ya Roma imekamilika afanya kazi na Bob junior wimbo unaitwa MAUMIVU sikiliza hapa kwa mara ya kwanza #Team Ukwanza ASANTE KWA KUWA NASI