Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Italia, Mario Balotelli aliyekua anakipiga katika klabu ya Ac Milan ya Italia wakati akitokea katika klabu ya Man City ya nchini Uingereza, leo amepata mkataba mpya wa kuichezea klabu ya Liverpool ya nchini Uingereza kwa ada ya EURO milioni 16. Kabla hajaondoka Mario Balotelli amepata mda wa kuwaaga wachezaji wenzake na uongozi wa Ac Millan na mashabiki wake. Balotelli atakua mbadala wa Suarez ampaye amejiunga na klabu ya Bacelona. Ungana na TEAM UKWANZA kila mara uapatapo nafasi.
ASANTE KWA KUWA NASI
ASANTE KWA KUWA NASI