PICHA STAILI MPYA YA KUNYOWA ZAIDI YA KIDUKU

Unaweza ukasema kuwa ni ushamba au nini lakini huo ndo ukweli halisi kwa wale vijana wanao penda staili mbali mbali za kunyowa hii inawahusu sana. Kwa muda sasa kulikuwa kunastahili ambayo ilikuwa inatamba ya Kiduku na vijana wengi walipenda staili hiyo ya kunyowa lakini sasa imekuja hii mpya inayoitwa  mamba stahili hiyo imeanzishwa nchini China kwenye salon moja kubwa nchini humo. Kama umependa stahili hiyo toka nayo sasa.