huu ni wimbo mpya toka kwa mwanamusic bexy wamusic{BEXY} alitoka vyema mwaka jana kupitia ngoma yake inaoitwa lulu na baadae akaja kupita vyema katika chorus ya wimbo wa mtu mzima O-TEN wimbo unaitwa waambe na huu ni wimbo mpya toka kwake bexy unaitwa SALAMU ZANGU
SIKILIZA HAPA