Kama umepita pita katika mitandao ya kijamii siku ya jana naamini ulikutana na posts/tweets za mafumbo za mastaa wawili hapa Bongo, ambao ni Harmonize pamoja na Idris Sultan. Habari kamili nimekuwekea kwenye video hii hapa chini, bonyeza kusikiliza mwanzo mpaka mwisho.