Tayari Burundi walishatua nchini tangu jana Jumapili saa 4.30 asubuhi na kufikia Hoteli ya De Mag iliyoko, Kinondoni, Dar es Salaam ambapo wakiwa wamejiandaa vizuri huku wakiendelea na mazoezi katika mchezo wao, kama kawaida Taifa Stars inasongeshwa na makocha wake Salum Mayanga akisaidiwa na Patrick Mwangata.
TAZAMA KIKOSI HAPA CHINI