Akiwa kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba wa kuitumikia klabu ya Man United, Ibrahimovic ameyasogeza manukato yake kwa ajili ya mashabiki zake.
Nyota huyo anayefanya vizuri na klabu ya Man United, baada ya kufanya mengi na kuendeleza vingi vikubwa pindi anapokuwa uwanjani, Zlatan amefunguka kwa kusema kwamba ameamua kufanya mengi makubwa kwa mashabiki zake kama ilivyo uwanjani kwa kuleta manukato yake ya aina mbili, ya kike yamepewa jina la Supreme na ya kiume yamepewa jina la uh, Zlatan.