+VIDEO : MUONEKANO MPYA WA OMMY DIMPOZ HATARI ( FULL MARANGI RANGI )



Msanii Ommy Dimpoz amebadili muonekano wake wa nywele mara baada ya kuweka rangi kwenye nywele zake. Msanii huyo amabye yupo Dubai alipost video kwenye mtandao wake wa kijamii na kuonyesha muonekano huo mpya bila ya kuandika chochote.

                                               TAZAMA VIDEO HAPA