Shishibaby atoa mpya ajifananisha na mwigizaji wa Marekani Cookie ambaye anafanya poa kwenye movie ya Empire . Shilole alipost picha kwenye mtandao wake wa IG amboyo ilimuonyesha yeye na cookie na kuandika " GUESS WHAT!? #SHISHIRAPAAAAAAAA" Aliandika msanii huyo mara baada ya hapo alipost video akiongea kama cookie kwa kingereza .
TAZAMA VIDEO HAPA