+VIDEO FULL TIME : LIVERPOOL 3 - 1 EVERTON TAZAMA MAGOLI YOTE HAPA


Liverpool waendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kukimbia ubingwa mara baada ya kuifunga everton goli 3 kwa 1 . Magoli ya liverpool yamefungwa na Mane dakika ya 8' , Coutihno dakika ya 31' na Origi dakika ya 60' huku lile la Everton likifungwa na Pennington dakika ya 28' .

                               TAZAMA MAGOLI HAPA